Naomba kujua ni mafuta gani mazuri kwa ngozi yangu, ngozi yangu siyo kavu na wala haina mafuta mengi. Kwa sasa napaka Nivea Dry Skin, lakini haifanyi ngozi yangu kuwa soft (muonekano mzuri).
Naomba ushauri nitumie mafuta gani?
siyo lazima uandike hapa...nenda fb..
Vaseline blue seal (original - nunua kwenye pharmacy) changanya na glycerine ya Zambia au South Africa.
Ndani ya wiki mbili tu utaona matokeo.