Mafuta gani mazuri kwa ngozi?

Mafuta gani mazuri kwa ngozi?

Linamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,976
Reaction score
24,496
Naomba kujua ni mafuta gani mazuri kwa ngozi yangu, ngozi yangu siyo kavu na wala haina mafuta mengi. Kwa sasa napaka Nivea Dry Skin, lakini haifanyi ngozi yangu kuwa soft (muonekano mzuri).

Naomba ushauri nitumie mafuta gani?
 
Jaribu rapid clair au white express zikikataa jaribu 7miracles
 
Hayachubui...marafiki zangu wanatumia,nami soon ntatumia unakuwa.mororoo...wao.nawaona wako poa sana.na pia fake yapo sana coz yanapendwa sana.
 
Naomba kujua ni mafuta gani mazuri kwa ngozi yangu, ngozi yangu siyo kavu na wala haina mafuta mengi. Kwa sasa napaka Nivea Dry Skin, lakini haifanyi ngozi yangu kuwa soft (muonekano mzuri).

Naomba ushauri nitumie mafuta gani?

Vaseline blue seal (original - nunua kwenye pharmacy) changanya na glycerine ya Zambia au South Africa.
Ndani ya wiki mbili tu utaona matokeo.
 
Hayachubui...marafiki zangu
wanatumia,nami soon ntatumia unakuwa.mororoo...wao.nawaona wako poa
sana.na pia fake yapo sana coz yanapendwa sana.

ahsante...naomba nielekeze mahali napoweza yapata na bei yake...
 
Vaseline blue seal
(original - nunua kwenye pharmacy) changanya na glycerine ya Zambia au
South Africa.
Ndani ya wiki mbili tu utaona matokeo.

haya nishayatumia sema sikutumia na hizo glycerine...
 
Vaseline blue seal
(original - nunua kwenye pharmacy) changanya na glycerine ya Zambia au
South Africa.
Ndani ya wiki mbili tu utaona matokeo.

hizi glycerine nazipata wap??
 
Back
Top Bottom