caven dish
Senior Member
- Sep 12, 2011
- 124
- 86
hizi glycerine nazipata wap??
Linamo
mafuta mazuri ni Olive, kwa ngozi za aina zote..hata ukimuuliza
MziziMkavu atakuambia ni kweli, kuna faida 100
alizozitaja zinazopatikana kwenye mafuta haya, tafuta extra virgin olive
oil.
Nimeupenda ujumbe kwenye avatar yako🙂
Hivi vipozi vinahitaji
umakini sana kila mtu ana ainaina ya ngozi na allegy tofauti.
Kunawale wenye ngozi ya mafuta na kavu hata wale wnye ngozi za mafuta na
kavu wana aina tofauti anbazo ni lazima ujue ni ipi hasa.
Pia kunaaina ya ngozi zina allagy na vipodozi bila kijalisha aina ya
ngozi na hili ni tatizo kubwa sana kwa watu wengi.
Watu wengine bwana ovyoo!
Mtu anahitaji mafuta ili ngozi yake iwe ng'aavu na si vinginevyo,eti "petrol" ili alipuke au...mxuuuum
Kama huna cha kumshauri pita iviii
Palmer's(yenye olive oil)kopo la kijani
itaendana na aina ya ngozi yangu?? ntaipata wap na kwa bei gan?
Bora unisaidie wewe kumuambia...
Ntayapata wapi na kwa bei gani?
I believe so..utaangalia
varieties zilizopo mana wanaandika kwenye label...unaweza ipata kwenye
maduka ya vipodozi , SH AMON,JD pharmacy na Game nishaikuta..bei from
8000 to 14 thou..au inaweza zidi
Kuchagua lotion ya 'dry skin' naona kama ni nzuri cause inasaidia ngozi
iwe moisturized zaidi