Mafuta gani mazuri kwa ngozi?

Mafuta gani mazuri kwa ngozi?

Linamo
mafuta mazuri ni Olive, kwa ngozi za aina zote..hata ukimuuliza
MziziMkavu atakuambia ni kweli, kuna faida 100
alizozitaja zinazopatikana kwenye mafuta haya, tafuta extra virgin olive
oil.

Nimeupenda ujumbe kwenye avatar yako🙂

ahsante.
 
Last edited by a moderator:
Dove intensive nourishing lotions,zipo za ngozi aina tofauti tofauti nafikiri,wanazisifia nzuri,sijatumia muda so i cant really see a big difference yet
 
Ya nazi tena yanayonukia. Yale yanayotengenezwa kienyeji
 
Hivi vipozi vinahitaji umakini sana kila mtu ana ainaina ya ngozi na allegy tofauti.

Kunawale wenye ngozi ya mafuta na kavu hata wale wnye ngozi za mafuta na kavu wana aina tofauti anbazo ni lazima ujue ni ipi hasa.

Pia kunaaina ya ngozi zina allagy na vipodozi bila kijalisha aina ya ngozi na hili ni tatizo kubwa sana kwa watu wengi.
 
Hivi vipozi vinahitaji
umakini sana kila mtu ana ainaina ya ngozi na allegy tofauti.

Kunawale wenye ngozi ya mafuta na kavu hata wale wnye ngozi za mafuta na
kavu wana aina tofauti anbazo ni lazima ujue ni ipi hasa.

Pia kunaaina ya ngozi zina allagy na vipodozi bila kijalisha aina ya
ngozi na hili ni tatizo kubwa sana kwa watu wengi.

ngozi yangu siyo kavu sana na wala siyo yenye mafuta mengi iko kati kati naomba ushauri mkuu...
 
Dove intensive nourishing
lotions,zipo za ngozi aina tofauti tofauti nafikiri,wanazisifia
nzuri,sijatumia muda so i cant really see a big difference yet

itaendana na aina ya ngozi yangu?? ntaipata wap na kwa bei gan?
 
Watu wengine bwana ovyoo!
Mtu anahitaji mafuta ili ngozi yake iwe ng'aavu na si vinginevyo,eti "petrol" ili alipuke au...mxuuuum

Kama huna cha kumshauri pita iviii

Palmer's(yenye olive oil)kopo la kijani
 
Watu wengine bwana ovyoo!
Mtu anahitaji mafuta ili ngozi yake iwe ng'aavu na si vinginevyo,eti "petrol" ili alipuke au...mxuuuum

Kama huna cha kumshauri pita iviii

Palmer's(yenye olive oil)kopo la kijani

Bora unisaidie wewe kumuambia...
Ntayapata wapi na kwa bei gani?
 
itaendana na aina ya ngozi yangu?? ntaipata wap na kwa bei gan?

I believe so..utaangalia varieties zilizopo mana wanaandika kwenye label...unaweza ipata kwenye maduka ya vipodozi , SH AMON,JD pharmacy na Game nishaikuta..bei from 8000 to 14 thou..au inaweza zidi
Kuchagua lotion ya 'dry skin' naona kama ni nzuri cause inasaidia ngozi iwe moisturized zaidi
 
Bora unisaidie wewe kumuambia...
Ntayapata wapi na kwa bei gani?


Maduka ya vipodozi na S.H AMON..kuanzia 15,000 na kuendelea kwa tuliopo mikoani..inategemea na duka (ujazo wa chupa) ila kwa AMON ipo juu kidogo
Labda kwa daslam..
 

Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    7.3 KB · Views: 1,014
I believe so..utaangalia
varieties zilizopo mana wanaandika kwenye label...unaweza ipata kwenye
maduka ya vipodozi , SH AMON,JD pharmacy na Game nishaikuta..bei from
8000 to 14 thou..au inaweza zidi
Kuchagua lotion ya 'dry skin' naona kama ni nzuri cause inasaidia ngozi
iwe moisturized zaidi

Much thanks.
 
Maduka ya vipodozi na S.H
AMON..kuanzia 15,000 na kuendelea kwa tuliopo mikoani..inategemea na
duka (ujazo wa chupa) ila kwa AMON ipo juu kidogo
Labda kwa daslam..

Ahsante sana ntayatafuta!
 
Back
Top Bottom