Kingcobra
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,000
- 310
Wadau,
Poleni na pilikapilika za kila siku. Samahani, naomba msaada kutoka kwa wataalam wa ngozi. Kwa kawaida, ngozi yangu muda wote imekuwa ikionekana kuwa na mafuta mengi sana hasa usoni especially kwenye kipaji cha uso.
Nimejaribu kutumia mafuta ambayo huambiwa kuwa yanakausha ngozi lakini bila mafanikio. Tafadhali naomba kwa wenye utaalam au uzoefu wa mafuta yoyote yanayowezesha ngozi kuwa kavu wanisaidie.
Asanteni.