Mafuta gani ya kujipaka yaliyo Bora yasiyo na chemical na yenye kuiacha ngozi kuwa ya asili ?

Mafuta gani ya kujipaka yaliyo Bora yasiyo na chemical na yenye kuiacha ngozi kuwa ya asili ?

thirteen06

Senior Member
Joined
May 17, 2021
Posts
118
Reaction score
100
Habari wapendwa,,
Kati ya vitu ambavyo binadamu analazimika kutumiakila siku Ni mafuta ya kujipaka.

Katika uhitaji huu, wafanyabiashara nao wamekukuwa wakibuni aina mbalimbali za mafuta ya kujipaka na kuyasifia kuwa Ni ya asili yasiyo na athari zozote kwenye ngozi pindi yatumiwapo.

Sasa kwa mwenye ushuda juu ya bidhaa hii muhimu yaani mafuta ya kujipaka yaliyo na chemical kidogo au yasiyo na chemical kabisa atufahamishe tuweze kuyafahamu na tuendelee kuwa salama zaidi.
 
Mafuta ya nazi changanya na mafuta ya mnyonyo, ukipaka hayo hata ukipakwa upupu unadunda...
 
Back
Top Bottom