Mafuta gani yanafaa usoni kwa ngozi yenye mafuta?

Mafuta gani yanafaa usoni kwa ngozi yenye mafuta?

peterK2

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
293
Reaction score
91
Naomba msaada tafadhali
Mwenye kujua mafuta mazuri kwa ajili ya kupaka hizi ngozi za mafuta hasa usoni anijulishe tafadhali
 
Mwenye ngozi ya mafuta hashauriwi kupaka chochote usoni zaidi ya kusafisha uso wake kwa maji safi na sabuni akiweza apake poda ya watoto.
Mmh!
Wacha nifikirie tu hyo ngozi yako sijui itakuwa mwororo kiasi gani.
 
Avatar Na Id Yako Vinaonesha Wew Ni Ke So Jamaa Hana Kosa Muwe Mnaweka Vitu Vya Kupresent Your Sex
Nani aliyesema habari za Avatar na Ke na Me hapa,
na umeelewa mimi na yeye tumezungumza nini maana tushaelewana lugha zetu.

Badala ya kujikita kwenye mada wewe unadandia maneno. lol.
 
Mwenye ngozi ya mafuta hashauriwi kupaka chochote usoni zaidi ya kusafisha uso wake kwa maji safi na sabuni akiweza apake poda ya watoto.
Kwa walio sehemu za baridi bila kupaka mafuta si uso utapauka??
 
Usipake chochote ila osha uso wako vizuri na maji na sabuni
 
Naomba msaada tafadhali
Mwenye kujua mafuta mazuri kwa ajili ya kupaka hizi ngozi za mafuta hasa usoni anijulishe tafadhali
Kama ngozi ina mafuta tayari, bado unahitaji ya ziada?
 
Back
Top Bottom