Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
dear kama ngozi yako ya mafuta na una uhakika na hilo usipake chochote, huwezi kupauka kwenye baridi kwa sababu tayari una mafuta yako ya asili na nikupe siri sasa, chunusi zinapenda sana kwenye baridi kwa sababu unakua hutoki jasho, sasa yale mafuta yanaganda na kutengeneza chunusi vijipu weeh utafurahi mwenyewe na roho yako.Nipo arusha si nta paukaa sanh
Kama unahisi huna mafuta basi paka cocoa butter tu ni nzuri, yatalainisha ngozi yako na kukufanya uwe na mvuto wa asili.