Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
dear kama ngozi yako ya mafuta na una uhakika na hilo usipake chochote, huwezi kupauka kwenye baridi kwa sababu tayari una mafuta yako ya asili na nikupe siri sasa, chunusi zinapenda sana kwenye baridi kwa sababu unakua hutoki jasho, sasa yale mafuta yanaganda na kutengeneza chunusi vijipu weeh utafurahi mwenyewe na roho yako.Nipo arusha si nta paukaa sanh
dear kama ngozi yako ya mafuta na una uhakika na hilo usipake chochote, huwezi kupauka kwenye baridi kwa sababu tayari una mafuta yako ya asili na nikupe siri sasa, chunusi zinapenda sana kwenye baridi kwa sababu unakua hutoki jasho, sasa yale mafuta yanaganda na kutengeneza chunusi vijipu weeh utafurahi mwenyewe na roho yako.
Kama unahisi huna mafuta basi paka cocoa butter tu ni nzuri, yatalainisha ngozi yako na kukufanya uwe na mvuto wa asili.
Hahahahahaaaaa, kwann dear?Unashindana na joseverest eeeh bae!??
UnajuaaaHahahahahaaaaa, kwann dear?
Naomba niambieUnajuaaa
Unahitaji mafuta ya nini ilhali uso wako una mafuta?Naomba msaada tafadhali
Mwenye kujua mafuta mazuri kwa ajili ya kupaka hizi ngozi za mafuta hasa usoni anijulishe tafadhali
Llnju ipo bomba zaid
AHHAHAHAUnashindana na joseverest eeeh bae!??
Hii tabia ya kufukua makaburi uiache kama ulivoacha mwaka2017AHHAHAHA
Hii tabia ya kufukua makaburi uiache kama ulivocha mwaka2017
Ndo ujitahid kuacha...unapoteaa weee alafu unarud kufukua makaburi...unaturudisha nyumaIPO KWENYE DAMU SIJUI KWA NINI NASHINDWA DEAR
Upo.... Kiongozi heri ya mwaka mpyaAHHAHAHA
Na kwako pia ndugu yangu wa JF....barikiwa sana mwaka huu 2018Upo.... Kiongozi heri ya mwaka mpya
Aaamin na kwako piaNa kwako pia ndugu yangu wa JF....barikiwa sana mwaka huu 2018
zoazoa ni mafuta au sabuni?Zoazoa