Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
asante nduguAaamin na kwako pia
Lotionzoazoa ni mafuta au sabuni?
kumbe kuna losheni ya zoazoa?Lotion
kumbe kuna losheni ya zoazoa?
hapo sawa kiongozi
tafuta ile lotion ya vitunguu swaumu.. itakufaa sana
Natafuta ya limao na hisi itakuwa pow zaid