N ngawia JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 770 Reaction score 794 Oct 22, 2024 #1 Wakuu naomba ABC kuhusu hii biashara ya mafuta kutoka kwenye maganda ya korosho. Upatikanaji wa maganda ya korosho je upo kwa wingi na Bei yake kwenye viwanda. Je Lita 40000 Inatumia maganda kg ngapi?
Wakuu naomba ABC kuhusu hii biashara ya mafuta kutoka kwenye maganda ya korosho. Upatikanaji wa maganda ya korosho je upo kwa wingi na Bei yake kwenye viwanda. Je Lita 40000 Inatumia maganda kg ngapi?
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 17,216 Reaction score 26,225 Oct 22, 2024 #2 Mimi sijui kwakweli...
Mafeking JF-Expert Member Joined Aug 21, 2018 Posts 225 Reaction score 471 Oct 22, 2024 #3 Hii mpya kwangu, ngoja waje wataalamu.