Mafuta kwa ajili ya kujipaka

Mafuta kwa ajili ya kujipaka

Jambazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
16,648
Reaction score
18,742
Ni Aina Gani Ya Mafuta Mazuri Ya Kulainisha Ngozi Ya Mwili Wa Binadamu, Na Yanapatikana Wapi Kwa Hapa Dar Es Salaam, Na Bei Gani!
 
Mafuta ya alizet mkebe wke wa kijan pia kuna chupa za dongo mfuniko kijani yameandikwa km skosei spanish oil ipo kila size inategemea uwezo wko. Maduka ya food staff pia ht phamacy
 
Me kuna mafuta natumia yanaitwa “tajiri“ ni mazuri kwa ngozi na yanakolea vibaya!

Angalizo; usipite kwenye vumbi jingi wala karibu na mzinga wa nyuki! Utapata dhahama ya ajabu

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
mafuta ya nazi!!!

unaweza nnunua nazi na kutengeneza mwenyewe!!!
 
Mafuta ya bunduki nadhani yatakufaa sana sababu yanaendana na jina lako
 
Ni Aina Gani Ya Mafuta Mazuri Ya Kulainisha Ngozi Ya Mwili Wa Binadamu, Na Yanapatikana Wapi Kwa Hapa Dar Es Salaam, Na Bei Gani!

Karibu Oriflame tunayo mafuta mazuri ya kulainisha ngozi..hayachubui ngozi yako,,bei yake ni 22,000/= utapewa na ushauri pia..piga 0655868643
 
Back
Top Bottom