hiyo ni hatua ya mwanzo kabisa ya kuelekea ugonjwa mbaya kabisa unaoua wa HEPATITS,
inabidi ufanye sana mazoezi na kuwahi tiba mapema kabla ya kufikia stage ya mwisho.
Hapana sinywi pombe ndugu yangu. DUUU Sikujua kama ni tatizo kubwa namna hiyo. ngoja niwahi hospitali.Hiyo hali ilimtokea dogo mmoja, alivimba tumbo likawa linamuuma mpk kukaa anashindwa, kula napo tabu. ..tukampeleka aar wakampima na kugundua ini lina mafuta. ...wakampa dawa baada ya kipindi akawa fresh kabisa ..We ni mnywaji wa pombe?
Kwanini usingemuuliza huyo daktari aliyekupa taarifa hizo? Unatuamini zaidi sisi madaktari vishoka kuliko daktari halisi!
Hapana sinywi pombe ndugu yangu. DUUU Sikujua kama ni tatizo kubwa namna hiyo. ngoja niwahi hospitali.