Mafuta/lotion gani nzuri isiyo bleach ngozi?

emmarki

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,001
Reaction score
1,430
Habari Jf,

Wataalamu wa ngozi na vipodozi mnipe maelekezo mazuri hapa.

🔷 Jinsia (me) rangi ya ngozi black chocolate, aina ya ngozi ni ya kwaida siyo kavu wala sijawahi kupata chunusi. Mafuta ya aina yoyote napaka bila kuona athari yoyote kwenye nyozi, kifupi ngozi yangu inahimili vingi.

Kutokana na kukosa matunzo weusi wangu unakuwa mpauko, nataka niwe na weusi wa kuteleza na unaong'aa (sitaki weupe). Ni aina gani ya lotion/mafuta/serum ninayktakiwa kutumia ili kufika lengo langu.

Ukinipa na tips nyingine namna ya kutunza rangi yangu kwa vitu natural nitafurahi zaidi.

🔶 Mkalia nyongo wangu rangi yake ya ngozi ni maji ya kunde iliyofifia, anapenda ing'ae siyo kujichubu (skin bleech). Atumie lotion/mafuta/serum gani ngozi ibaki asili na siyo awe mwekundu km nyanya. Aina yake ya ngozi ni ya kwaida mkipendekeza mnipe na bei kabisa ya hivo vitu.
 
Wanakuja kukupa muongozo
 
Duuuh! 60....? halafu ukute yanachubua,mbona itauma sana
Hayachubui ni mazuri kwa familia hasa afya ya ngozi. Pia yako cool na yananyoosha ngozi haswa
 
duu, siku hiyo nifunge macho kisawasawa cyo kwa mpunga huo
Ni kuamua tuu na kama mnatumia wawili hata miezi 5-6 yanakaa...mm natumia usoni tuu kutokana na kazi zangu zinasababisha ngozi kuungua na kukunjana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…