Mafuta/lotion gani nzuri isiyo bleach ngozi?

Mafuta/lotion gani nzuri isiyo bleach ngozi?

kuna yale ya kukamua bila kuchemsha nazi, yapi mazuri kati yaliyochemshwa na yale ya bila kuchemshwa

Mafuta mazuri ya nazi ni yale ambayo hajapita kwenye moto wala kuchemshwa kwa majina mengine yanaitwa extra virgin coconut oil au cold pressed oil na majina mengine….ni mazuri mno mm natengeneza na nayauza hayo mafuta makubwa ya mls 250 ni 10,000 na madogo mls 125 ni 5,000 tu.
 
kama hutajali ukimwaga siri hapa jinsi ya kukamua na vifaa vinavyohitajika
 
Nafurahi sana nikiona mwanaume anajali afya ya ngozi yake pia. Maana wenzetu nyie[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Habari Jf,

Wataalamu wa ngozi na vipodozi mnipe maelekezo mazuri hapa.

[emoji841] Jinsia (me) rangi ya ngozi black chocolate, aina ya ngozi ni ya kwaida siyo kavu wala sijawahi kupata chunusi. Mafuta ya aina yoyote napaka bila kuona athari yoyote kwenye nyozi, kifupi ngozi yangu inahimili vingi.

Kutokana na kukosa matunzo weusi wangu unakuwa mpauko, nataka niwe na weusi wa kuteleza na unaong'aa (sitaki weupe). Ni aina gani ya lotion/mafuta/serum ninayktakiwa kutumia ili kufika lengo langu.

Ukinipa na tips nyingine namna ya kutunza rangi yangu kwa vitu natural nitafurahi zaidi.

[emoji840] Mkalia nyongo wangu rangi yake ya ngozi ni maji ya kunde iliyofifia, anapenda ing'ae siyo kujichubu (skin bleech). Atumie lotion/mafuta/serum gani ngozi ibaki asili na siyo awe mwekundu km nyanya. Aina yake ya ngozi ni ya kwaida mkipendekeza mnipe na bei kabisa ya hivo vitu.
Wewe ni mwanaume haya mambo waachie dada zako

Ukipaka kimbo inatosha
 
kama hutajali ukimwaga siri hapa jinsi ya kukamua na vifaa vinavyohitajika

Mi natumia machine zile za kukamua mafuta so nakamua direct situmii hii njia zingne ila kama unataka kutengeneza nyumbani pia naweza nikakuelekeza njia mbadala
 
Ukiitaji tuwasiliane
 
Attachments

  • Screenshot_20220603_203727_edit_616615734928163.jpg
    Screenshot_20220603_203727_edit_616615734928163.jpg
    40.8 KB · Views: 141
Back
Top Bottom