Mafuta/lotion gani nzuri isiyo bleach ngozi?

kuna yale ya kukamua bila kuchemsha nazi, yapi mazuri kati yaliyochemshwa na yale ya bila kuchemshwa

Mafuta mazuri ya nazi ni yale ambayo hajapita kwenye moto wala kuchemshwa kwa majina mengine yanaitwa extra virgin coconut oil au cold pressed oil na majina mengine….ni mazuri mno mm natengeneza na nayauza hayo mafuta makubwa ya mls 250 ni 10,000 na madogo mls 125 ni 5,000 tu.
 
kama hutajali ukimwaga siri hapa jinsi ya kukamua na vifaa vinavyohitajika
 
Nafurahi sana nikiona mwanaume anajali afya ya ngozi yake pia. Maana wenzetu nyie[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Wewe ni mwanaume haya mambo waachie dada zako

Ukipaka kimbo inatosha
 
kama hutajali ukimwaga siri hapa jinsi ya kukamua na vifaa vinavyohitajika

Mi natumia machine zile za kukamua mafuta so nakamua direct situmii hii njia zingne ila kama unataka kutengeneza nyumbani pia naweza nikakuelekeza njia mbadala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…