Akifata huu ushauri hakika atafanikiwaTumia cement tu, wanaume na lotion wapi na wapi[emoji848][emoji848][emoji848]
Mtoa mada itakuwa ana asili ya Congo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]Akifata huu ushauri hakika atafanikiwa
Tumia Nivea ni nzuri.Huwa natumia lotion inaitwa rubby ila nahitaji kubadilisha, mimi ngozi yangu kama inamafutamafuta japo sio sanaaa. Nahitaji lotion ambayo itanisaidia kuniondolea vidude flani vyeupe vinatokeaga puani, nakwenye mashavu kama vilishawahi kukutokea naamini utavitambua. Kwayoyote anayetambua lotion nzuri anaweza niambia, karibuni
NB. Me nimwanaume
NB. Me nimwanaume
Ukipata vasseline blueseal, men petroleum jelly ni kiboko yao.Mimi situmii Lotion ila natumia Vaseline Petroleum Jelly, ni mafuta mazuri ya mgando kwa wanaume.
Mkuu tupia picha ya kopo lake.Nivea ya kenya, kopo la blue is the best.
FYIMkuu tupia picha ya kopo lake.
Pamoja mkuu.
Nivea nzuri sana