pangakali 2
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 239
- 221
Nikila chapati baada ya chai ya asubuhi mafuta yanabaki mkononi yanatosha kupaka usoni.Pure gryceline yanatosha tu
Haya mkuu wewe mwanaume wa wapi?mwanaume wa dar
Nashukuru. Ivyo ukiona ingredient kama hio ni hatari sanaHydroquinone..
Mkuu Zimekua na madhara gani kwa uzoefu wako ? Na ipi bora angalau isiyokuwa na athari za kubadirisha ngozi halisi?nimeshatumia lotion hizi Nivea for men,Vaseline for men,Clere men zote naona hazieleweki!nimerudi kwenye samli(just kidding!)
Mkuu bora hata useme kukaa bila kupaka mafuta. But unapopaka paka mafuta ya mgando muda wote unatokwa jasho la kutosha na unang'aa kama kitumbuaKwani wanaume rijali tunapaka wese mkuu[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
Tena kinondonimwanaume wa dar
Wewe Mimi kabisa napakaga yaleNikila chapati baada ya chai ya asubuhi mafuta yanabaki mkononi yanatosha kupaka usoni.
Bora ungelisema nipake sabuni maisha hayo wewe ulipitia? Au ndio generation ya pempers?Wanaume mafuta ya Rays, Au vaseline yanatosha kabisa sasa wewe mambo ya lotion yanatoka wapi tena.
Kweli wewe upo makini. Je siku ukila maharage na mkate au supu ya samaki?Nikila chapati baada ya chai ya asubuhi mafuta yanabaki mkononi yanatosha kupaka usoni.