Mafuta (lotion) ya kujipaka wanaume na athari zake

Mafuta (lotion) ya kujipaka wanaume na athari zake

pangakali 2

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
239
Reaction score
221
Mimi ni mwanaume rangi yangu ni black by nature kuna baadhi ya lotion hua nikipaka huanza kuharibu asili yangu. Wakuu naomba kujuzwa ni aina gani ya ingredients ambayo ikiwa katika mafuta huathiri rangi halisi ( kuchubua ngozi). na athari zinginezo?

20191031_190429.jpeg
 
Rotion kwa mwanaume sio nzuri aise yaani kama kazi au mazingira yako yanaweza kukupelekea kwenye masumbwi ndio usiombe kidogo tu unapasuka,
 
nimeshatumia lotion hizi Nivea for men,Vaseline for men,Clere men zote naona hazieleweki!nimerudi kwenye samli(just kidding!)
Mkuu Zimekua na madhara gani kwa uzoefu wako ? Na ipi bora angalau isiyokuwa na athari za kubadirisha ngozi halisi?
 
Kwani wanaume rijali tunapaka wese mkuu[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
Mkuu bora hata useme kukaa bila kupaka mafuta. But unapopaka paka mafuta ya mgando muda wote unatokwa jasho la kutosha na unang'aa kama kitumbua
 
Wanaume mafuta ya Rays, Au vaseline yanatosha kabisa sasa wewe mambo ya lotion yanatoka wapi tena.
Bora ungelisema nipake sabuni maisha hayo wewe ulipitia? Au ndio generation ya pempers?
 
Back
Top Bottom