Mafuta mazuri kwa ngozi ya mafuta

Shakira98

Member
Joined
Apr 10, 2022
Posts
57
Reaction score
93
Habari zenu wapendwa.

Nimekua nikihangaika nipake mafuta gani usoni yasiyo na kemikali nakosa jibu. Uso wangu Mimi una mafuta rangi yangu ni brown.

Kwa ambaye ana ngozi na rangi Kama yangu akatumia kitu kikamfanya awe soft aniambie na Mimi nijaribu.

Sitaki kubadili rangi nataka niwe soft.
Msaada please.

Nawatakia Eid njema.
 
Hakuna mafuta ya kupakaa mwili yasiyo na kemikali ila kuna yenye kemikali ambazo ni hatari na ambazo sio hatari.

Naweza kukutajia mafuta meeeeeengi sana kwa sababu namiliki duka la vipodozi.

Nataka nijue kwanza budget yako huwa unanunua mafuta ya bei gani na sasa uko tayari iende hadi bei gani
 
aise mi naomba nitajie mazuri zaidi bila kujali bei..Jinsia ni me
 
Ngozi yako ni kavu au ya mafuta?
Ngoja niivamie message alieulizwa hayupo. Binafsi ngozi yangu ni kavu kabisa natamani nipate mafuta yatakayoifanya iwe na unyevunyevu.
 
Natumae mleta mada ulipata miongozo...
 
Cocoa butter formula (Palmer's)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…