KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Yanayoondoa.Yanayotoa or yanayoondoa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanayoondoa.Yanayotoa or yanayoondoa?
Hayo mafuta uliyotaja hapo,ya nazi na mzeituni yapo katika kundi linaitwa 'decomedogenic'(they cloge pores)yaani yanaziba vitundu vya ngozi na hivyo kuleta chunusi tena zaidi kwa mtu mwenye ngozi ya mafuta hivyo hayafai,mtu mwenye ngozi ya mafuta anapaswa atumie mafuta ambayo ni non greasy/oil free(hayana mafuta)au atumie moisturiser ambayo ni water based tu kwa ajili ya kutunza unyevu wa ngozi.Unachokitafuta hakipo na hakijawahi kuwepo.
Fahamu tu, mafuta yote ni kemikali, hakuna mafuta yasiyo na kemikali.
Pili kama ngozi yako ina mafuta ya kutosha maana yake huitaji tena kuhangaika sana kutafuta mafuta ya kupaka, maana ngozi yako inajitolesheza kwa mafuta!
Mafuta yoyote yale yanayoweza kuifanya ngozi yako kuwa nyororo zaidi ya jinsi ilivyo sasa au zaidi ya vile mafuta mengine ya kawaida yanavyoweza kuifanya, hayo sio mafuta bali hicho ni kipodozi chenye kiambata cha kuchubua ngozi!
Mafuta bora zaidi kwa ngozi ni mafuta ya kupikia, mafuta ya nazi, mafuta ya mzaituni au mafuta ya kawaida ya kupaka yanayopatikana kwenye jamii nzima (kama vaseline nk) au yanayofaa kupakwa watoto wadogo.
Note
Usijidanganye kabisa kuwa wauzaji wa maduka ya vipodozi na mafuta mbalimbali wana ufahamu bora wa mafuta bora ya kukufaa wewe, wako pale kufanya biashara zaidi na lazima watakuuzia kile wanachokiuza kwa faida na kile chenye kukufanya uendelee kuja kukinunua (cosmetic addiction)
Nakubaliana na wewe anza kukanusha tu ili tueleweshane hakuna namnaHuu uzi watu mnaongopeana sana,yaan uongo ni mwingi sijui hata nikanushe nini.
Asante kwa elimu mkuu, kwahyo kwa mtu mwenye ngozi ya mafuta ni mafuta gani mazuri ya kutumia?Hayo mafuta uliyotaja hapo,ya nazi na mzeituni yapo katika kundi linaitwa 'decomedogenic'(they cloge pores)yaani yanaziba vitundu vya ngozi na hivyo kuleta chunusi tena zaidi kwa mtu mwenye ngozi ya mafuta hivyo hayafai,mtu mwenye ngozi ya mafuta anapaswa atumie mafuta ambayo ni non greasy/oil free(hayana mafuta)au atumie moisturiser ambayo ni water based tu kwa ajili ya kutunza unyevu wa ngozi.
Vaseline imetengenezwa na petroleum na wanasema ni non comedogenic(hayazibi vitundu)ni kweli lakini ni mazito mno kwa mtu mwenye ngozi ya mafuta na hivyo yanaweza kuleta chunusi pia labda awe na ngozi mchanganyiko ila sio ya mafuta hasa ambao hupata chunusi kirahisi.
Nakubaliana na wewe wauzaji wengi wa vipodozi hawana uelewa wa bidhaa kuendana na ngozi za watu,wao ni kuuza tu product hasa mpya akiona mteja fulani ilimkubali basi na wewe ukiwa na chunusi atakwambia chukua hii fulani ilimsaidia bila kujua ngozi zinatofautiana ndio maana wanawake wanamaliza sana hela kwenye vipodozi maana ananunua bidhaa anajaribu inamkatalia anatafuta nyingine mpaka abahatishe iliyo sahihi.
Labda kwenye miji mikubwa maduka kama S.H Amon ndio unakuta wana wataalamu wa ushauri wa ngozi.
Asante kwa elimu mkuu, kwahyo kwa mtu mwenye ngozi ya mafuta ni mafuta gani mazuri ya kutumia?
Asante sana mkuu, ntajaribu kuutafuta
Yaani haya mafuta ni kiboko, the best kwakweli.
Nunua serum kojic.......uchanganye kweny lotion ya usoni yyte iloandikwa brightening. Isiwe na cocoa au parachichiHabari zenu wapendwa.
Nimekua nikihangaika nipake mafuta gani usoni yasiyo na kemikali nakosa jibu. Uso wangu Mimi una mafuta rangi yangu ni brown.
Kwa ambaye ana ngozi na rangi Kama yangu akatumia kitu kikamfanya awe soft aniambie na Mimi nijaribu.
Sitaki kubadili rangi nataka niwe soft.
Msaada please.
Nawatakia Eid njema.
Wewe una ngozi ya mafuta na umeshawahi kuyatumia?Kwanini the best?Yaani haya mafuta ni kiboko, the best kwakweli.
Imeandikwa suitable for all skin types,Je kwa ngozi ya mafuta ni mazuri?
Imeandikwa suitable for all skin types,Je kwa ngozi ya mafuta ni mazuri?
Bei yake ni kiasi gani?
Yanapatikana wapi?
Ok, asanteAll skin type yanafaa kwa ngozi aina zote
Origin ni South Africa
Kwa Tanzania yapo maduka ya Vipodoz
Kariakoo utapata @kariakoovipodozi
22,000/=
Una Chura? Ukiachana na Uso. Shape yako Ikoje?Habari zenu wapendwa.
Nimekua nikihangaika nipake mafuta gani usoni yasiyo na kemikali nakosa jibu. Uso wangu Mimi una mafuta rangi yangu ni brown.
Kwa ambaye ana ngozi na rangi Kama yangu akatumia kitu kikamfanya awe soft aniambie na Mimi nijaribu.
Sitaki kubadili rangi nataka niwe soft.
Msaada please.
Nawatakia Eid njema.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Anaitwa mtu kwenda kuumizwa. Mafuta halisi hata hujaiona Ngozi yake? Huu ni utapeli kama utapeli mwingine.Njoo inbox tuyajenge, haya ndo mafuta halisi kwa nhozi yakoView attachment 2279407
Hii ni kwa wenye mafuta ama ngozi kavu?
Hivi siku hizi hawachakachui?Cocoa butter formula (Palmer's)
Pesa ngap hiyo inaenda bebi?