Mafuta mazuri kwa ngozi ya mafuta

Hayo mafuta uliyotaja hapo,ya nazi na mzeituni yapo katika kundi linaitwa 'decomedogenic'(they cloge pores)yaani yanaziba vitundu vya ngozi na hivyo kuleta chunusi tena zaidi kwa mtu mwenye ngozi ya mafuta hivyo hayafai,mtu mwenye ngozi ya mafuta anapaswa atumie mafuta ambayo ni non greasy/oil free(hayana mafuta)au atumie moisturiser ambayo ni water based tu kwa ajili ya kutunza unyevu wa ngozi.

Vaseline imetengenezwa na petroleum na wanasema ni non comedogenic(hayazibi vitundu)ni kweli lakini ni mazito mno kwa mtu mwenye ngozi ya mafuta na hivyo yanaweza kuleta chunusi pia labda awe na ngozi mchanganyiko ila sio ya mafuta hasa ambao hupata chunusi kirahisi.

Nakubaliana na wewe wauzaji wengi wa vipodozi hawana uelewa wa bidhaa kuendana na ngozi za watu,wao ni kuuza tu product hasa mpya akiona mteja fulani ilimkubali basi na wewe ukiwa na chunusi atakwambia chukua hii fulani ilimsaidia bila kujua ngozi zinatofautiana ndio maana wanawake wanamaliza sana hela kwenye vipodozi maana ananunua bidhaa anajaribu inamkatalia anatafuta nyingine mpaka abahatishe iliyo sahihi.

Labda kwenye miji mikubwa maduka kama S.H Amon ndio unakuta wana wataalamu wa ushauri wa ngozi.
 
Asante kwa elimu mkuu, kwahyo kwa mtu mwenye ngozi ya mafuta ni mafuta gani mazuri ya kutumia?
 
Nunua serum kojic.......uchanganye kweny lotion ya usoni yyte iloandikwa brightening. Isiwe na cocoa au parachichi
 
Imeandikwa suitable for all skin types,Je kwa ngozi ya mafuta ni mazuri?
Bei yake ni kiasi gani?
Yanapatikana wapi?

All skin type yanafaa kwa ngozi aina zote

Origin ni South Africa


Kwa Tanzania yapo maduka ya Vipodoz

Kariakoo utapata @kariakoovipodozi

22,000/=
 
Una Chura? Ukiachana na Uso. Shape yako Ikoje?
 
Kwanza unajuaje kama ngozi Yako inamafuta au Haina mafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…