Mafuta mazuri ya kiume

Mafuta mazuri ya kiume

henry normal

Senior Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
120
Reaction score
31
Kwema wandugu naomba nifahamu ivi ni mafuta au lotion gani zuri kwa matumizi ya mwanaume
 
Aina ya ngozi yako, aina ya harufu unayopendelea, kipato chako, pia kaz unayojishuhulisha nayo (MF unatumia nguvu au akil zaid) inaweza kukusaidia kujua ni mafuta yap mazur kwako
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Imenilazimu nikuelewe kabla sijamwelewa mtaka LOTION Mkuu
Toba......[emoji87] [emoji87] [emoji87]
[emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Vaseline, Nivea for man ndo mafuta yangu
 
Back
Top Bottom