Brightman Jr
JF-Expert Member
- Mar 22, 2009
- 1,224
- 234
Nenda S.H amon mtafute mdada yeyote apo akushauri ila angalia usiangukue kwa jamaa m1 hapo nasikia ameumia
Mkuu iko sehemu gani ili niende huko
Usiende S.h amon watakuharibu.
chukua mafuta ya korie (refined palm oil), kama mils 250 pamoja na mchaichai (lemon grass) handful 2 au 3 zilizokatwa katwa; chemsha hayo mafuta na mchaichai. Baadaye yaache yapoe; hayo ndio mafuta yako!
je nilazima upake mafuta usoni?
Mmmmh................?! Mkuu niende wapi kutatua tatizo linalonisibu au nifanyeje?
Usiende S.h amon watakuharibu.
Waheshimiwa wakuu naomba ushauri wenu. Mara nyingi ngozi yangu inatatizo la kutoka vipele vilivyo mfano wa chunusi pale ninapojipaka mafuta hususan baada ya kuoga. Vipele hivyo hutokea baada ya siku tatu na huendelea kutoka kadri ninavyoendelea kujipaka. Nikiacha kupakaa mafuta vipele navyo hukoma kujitokeza. Nimejaribu kukaa bila kupaka mafuta kwa kipindi fulani, na ngozi yangu katika wakati huo hubadilika kuwa kavu isiyopendeza. Wataalam naombeni ushauri nitumie mafuta aina gani ili ngozi yangu ipendeze na iwe soft? Lotion nyingi nimejaribu hizo ndo hatari kabisa! Nawasilisha.
Amesema ameshajaribu kuacha kupaka lkn ndani ya kipindi kifupi tu ngozi yake imekuwa mbaya zaidi,itakuwa ilikuwa ngumu km ya kenge ktk kipindi ameacha kupaka kabisaje nilazima upake mafuta usoni?