Mafuta Mazuri ya kupakaa ya Nywele

Hii ndo olive?
Yes Olive ni zaituni.... Mafuta yake ni mazuri kwa kunywa au kutoa ktk saladin... na kupaka mwilini ila kwa nywele na kupikia chakula hayana tija nzuri..not recommended.
Best Quality ni ya Spain, Palestine na midkeast.
 
Kuza og ni mazuri pia, ila kuna vi fake hivyo sijui ni made in vingunguti..🤦🏽‍♀️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…