Mafuta Mazuri ya kupakaa ya Nywele

Mafuta Mazuri ya kupakaa ya Nywele

Hii ndo olive?
Yes Olive ni zaituni.... Mafuta yake ni mazuri kwa kunywa au kutoa ktk saladin... na kupaka mwilini ila kwa nywele na kupikia chakula hayana tija nzuri..not recommended.
Best Quality ni ya Spain, Palestine na midkeast.
 
Mimi natafuta mafuta ya dread na sabuni zake za kuosha.
images (8).jpeg

Unaosha na shampoo
 
Kuza og ni mazuri pia, ila kuna vi fake hivyo sijui ni made in vingunguti..🤦🏽‍♀️
 
Back
Top Bottom