Dr. Donald A Jitta
Member
- Jun 4, 2013
- 13
- 1
Salaam,
Najitoke kwa awamu nyingine katika jukwaa kuuliza vitu vifuatavyo:-
1. MAFUTA:
JF Doctors, tafadha naomba kufahamiswa kuwa nimafuta ya aina gani ni sahihi kutumika kwaajili ya kumtomasia (for romance purpose) mwanamke pale mwanaume anapokuwa akimuanda mwanamke kwaajili ya tendo la ndoa? Na pale mafuta hayo yanakuwa yanapakwa katika mwili wa mwanamke na ukeni mwa mwananke wakat mwanaume anapokuwa akimuandaa mwanamke kwaajili ya tendo hilo, nini faida yake hasa au yana umuhimu gani katika tendo la ndoa? Na je hayawezi kumletea mwanamama madhara pale yanapopakwa ukeni?
2. VINYWAJI:
Simaanishi ulevi tafadhali, emu naomba mnielimishe katika hili JF Doctors, je kuna ukweli wowote katika kauli hiz ninazokuwa nikisikia mitaani? Kuwa "KUNA VINYWAJI au MIVINYO AMBAYO IKITUMIWA NA MWANAUME BASI UMFANYA AWE NA NGUVU ZA KATIKA TENDO LA NDOA" pia nikasikia kuwa "KUNA VINYWAJI AMBAVYO VIKITUMIWA WAKATI WA MAANDALIZI YA TENDO LA NDOA BASI UWAFANYA WANANDOA WANYEGEHEKE HARA ZAIDI", je kunaukweli katika kauli hizi?!