Mafuta pure 100% ya parachichi

Mafuta pure 100% ya parachichi

Habari...
Karibu ujipatie mafuta ya parachichi pure 100%..
Mafuta haya yanasaidia ngozi iliyokakamaa ama ngozi ya uzee kurudi kuwa kama ya kijana (anti-aging)
Inasaidia kuondoa madoa usoni yaliyosababishwa na chunusi
Huondoa weusi na makovu katika ngozi yako
Huondoa mba kichwani
Kwa wenye kipilipili huzifanya nywele kujaa vizuri kichwani..
Karibu popote ulipo yatakufikia
Yanapatikana kwa sh. 10000/mls 100 kwa rejareja jumla ni elf 8000 kuanzia lita moja...
Karibuni 0675676269
Huo ujazo wa bidhaa katika tangazo lako haueleweki!

Yaani mls 100 kwa elf 10!

Nadhani ulikuwa unamaanisha vinginevyo.

Kama itakuwa sahihi, kwanini lt1 iuzwe kwa Tshs 8,000/-, wakati ml100 ni sawa na 1/10 ya lita?

Uwe serious uwapo kwenye marketing basi buana!
 
Halafu mbona ni meusi kama oil chafu? Nyie vijana wa tz mnakuwa wahuni sana siku hizi unaweza ukauziwa mafuta ya chips yaliyoungulia hivi hivi unaona halafu unaambiwa ni mafuta ya parachichi.
 
Habari...
Karibu ujipatie mafuta ya parachichi pure 100%..
Mafuta haya yanasaidia ngozi iliyokakamaa ama ngozi ya uzee kurudi kuwa kama ya kijana (anti-aging)
Inasaidia kuondoa madoa usoni yaliyosababishwa na chunusi
Huondoa weusi na makovu katika ngozi yako
Huondoa mba kichwani
Kwa wenye kipilipili huzifanya nywele kujaa vizuri kichwani..
Karibu popote ulipo yatakufikia
Yanapatikana kwa sh. 10000/mls 100 kwa rejareja jumla ni elf 8000 kuanzia lita moja...
Karibuni 0675676269
So Kuna tofauti gani ya kununua avocado ukachanganya hata na asali ukachanganya ukawa unajipaka.

Pia why unashauri twende against na nuture yaani kuwa mti ama mnyama utumie madawa fulani ili uzeeke. By nature tumezaliwa na lazima tutakufa it's inescapable. Let us leave nature ifanye kazi ama wewe unashauri kuwa tuzidi kubakia kijana ili tuule vizuri ama
 
Back
Top Bottom