Mafuta Uganda Yaja Tanga: Bomba 92% bado 8% tu

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
TANZANIA LEO LASEMA...

MAFANIKIO MENGINE YA SAMIA DESEMBA

🔹Tone la kwanza la mafuta ghafi ya Uganda litakuja Tanga
🔹TPDC yasema Mradi wa Bomba umefikia 92% kumalizika
🔹Baada ya hapo, ni ujenzi wa kitovu cha nishati A. Mashariki
 
Usidanganye watu, mafuta hayaji Tanga, yanatoka Hoima Uganda kwenda huko kwa wenyewe kupitia bandari ya Chongoleani iliyoko Tanga.
Mafuta hayaji Tanga bali yanapita tuu kama yalivyopita mikoa mingine Mingi tuu na hakuna aliyeyagusa wala kutumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…