Mafuta usoni

sixlove

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
563
Reaction score
393
Ndugu zangu wana JF, naomba mnisaidie ni mafuta gani nitumie kujipaka usoni kwa sababu natokwa sana na mafuta usoni hashasa puani. nilishauriwa nisijipake mafuta usoni lakini hali haikubadilika kabisa mpaka sasa sijipaki mafuta usoni ila bado naendelea kutokwa na mafuta.........naomba msaada wenu wakuu
 
angalau mara mbili kwa siku osha uso wako vizuri paka maji ya ndimu kaa nayo nusu saa halafu osha.

epuka kupaka milosheni haswa yenye glycerin usoni

ukiweza ukiwa unaoga tumia sabuni ya ukwaju
 
una umri gani ndugu? ujana nao husumbua....ujanani mwili huwa na vitu vingi sana vinavyohusisha kubadilika kutoka utotoni kwenda ujana then utu uzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…