sixlove
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 563
- 393
Ndugu zangu wana JF, naomba mnisaidie ni mafuta gani nitumie kujipaka usoni kwa sababu natokwa sana na mafuta usoni hashasa puani. nilishauriwa nisijipake mafuta usoni lakini hali haikubadilika kabisa mpaka sasa sijipaki mafuta usoni ila bado naendelea kutokwa na mafuta.........naomba msaada wenu wakuu