Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mafuta ya alizeti yana low smoking point kwa hiyo hayafai kwa afya kwa mapishi ya wabongo wanaopika kwa kutumia joto kali, ni vizuri kuhimiza uzalishaji wa mafuta ya mawese kwa wingi kwa ajili ya kupikia au kukaangia..
Hebu fuatilia vizuri, nafikiri yana high percentage ya unsaturated fatty acid ambazo zinakuwa denatured kirahisi na heat na kutengeneza probably some toxic/carcinogenic derivatives....Refined oils recommended for high-heat cooking and deep-frying are “high oleic” safflower, sunflower, and peanut oil.
Wenye viwanda vya ndani, ninawaomba mjitahidi kuwa wasafi hasa mnaozalisha bidhaa za kula.Usafi msisubiri Bwana afya au mamlaka kama TMDA na TBS