Upo mkoa ganii
Nipo Dar sinza mpendwa. Nicheck nakuleteaKwa mimi nilio unga limited nao unaweza kuniletea
Ila ujaandika upo wapi?
ha ha ha, kazi kweli kweli. sema soko la hayo mambo halidumuKujiuza si hadi uwe na soko? Watu wamedoda na kuchina huko Telegram na Iñsta...
....ukifika hapa nichekiunaweza tamani kujiuza
Ah jamanii....ukifika hapa nicheki
Rafiki yangu, haya mafuta unayatoa wapi? Mbona bei imechangamka sana!! 30,000 kwa lita 5!!! Anyway, nisikuharibie biashara.Hello wapendwa,
Kutokana na changamoto za hapa na pale nmeamua kujihusisha na biashara ya kuuza mafuta ya alizeti. Hali ni ngumu jamani unaweza tamani kujiuza. Ila nimeona kuliko nifikie huko ni bora nitafute rikizi. Nauza elf 30 dumu la lita 5. Ni mazuri kabisa.
Mwenye uhitaji anipm nakuletea ulipo kama mbali tutajadili usafiri. Nawapenda!!
Napatikana Dar es Salaam, Sinza mori.
View attachment 1888140
Fanya research dukani utaniambia mpendwaRafiki yangu, haya mafuta unayatoa wapi? Mbona bei imechangamka sana!! 30,000 kwa lita 5!!! Anyway, nisikuharibie biashara.
Labda na mazungumzo pia yapo! Isitoshe unawapelekea wateja wako mpaka pale walipo!! Upendo wa aina gani huu!
NB; Uza mafuta tu. Hilo pepo la kutamani kujiuza likemee!! Unaweza kugeuka kuwa JINI kama lile la pale Corner Bar!!
Ah jaman