Mafuta ya alizeti

Mafuta ya alizeti

new gal

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
1,593
Reaction score
2,988
Hello wapendwa,

Kutokana na changamoto za hapa na pale nmeamua kujihusisha na biashara ya kuuza mafuta ya alizeti. Hali ni ngumu jamani unaweza tamani kujiuza. Ila nimeona kuliko nifikie huko ni bora nitafute rikizi. Nauza elf 30 dumu la lita 5. Ni mazuri kabisa.

Mwenye uhitaji anipm nakuletea ulipo kama mbali tutajadili usafiri. Nawapenda!!

Napatikana Dar es Salaam, Sinza mori.

20210806_132750.jpg
 
Kwa mimi nilio unga limited nao unaweza kuniletea

Ila ujaandika upo wapi?
 
Hello wapendwa,

Kutokana na changamoto za hapa na pale nmeamua kujihusisha na biashara ya kuuza mafuta ya alizeti. Hali ni ngumu jamani unaweza tamani kujiuza. Ila nimeona kuliko nifikie huko ni bora nitafute rikizi. Nauza elf 30 dumu la lita 5. Ni mazuri kabisa.

Mwenye uhitaji anipm nakuletea ulipo kama mbali tutajadili usafiri. Nawapenda!!

Napatikana Dar es Salaam, Sinza mori.

View attachment 1888140
Rafiki yangu, haya mafuta unayatoa wapi? Mbona bei imechangamka sana!! 30,000 kwa lita 5!!! Anyway, nisikuharibie biashara.

Labda na mazungumzo pia yapo! Isitoshe unawapelekea wateja wako mpaka pale walipo!! Upendo wa aina gani huu!

NB; Uza mafuta tu. Hilo pepo la kutamani kujiuza likemee!! Unaweza kugeuka kuwa JINI kama lile la pale Corner Bar!!
 
Fanya research dukani utaniambia mpendwa
 
Back
Top Bottom