Mafuta ya Alizeti

Mafuta ya Alizeti

Neanne

Member
Joined
Apr 23, 2013
Posts
24
Reaction score
5
Habari wana jamvini? Katika hangaika yangu nimepata wateja wa mafuta ya alizeti, nimesikia yanapatikana Singida, tatizo sijui pa kuanzia ili kuyapata na kuyaleta Dar ili kusupply. Naomba msaada wenu kwa wanaojua mchakato mzima. Tupigane na umasikini tulijenge taifa
 
Salaam Mkuu! Mimi ni mzalishaji wa hayo mafuta hapa singida. Npe mchanganuo wako PM aina ya wateja wako, kiasi cha mafuta unachohitaji, bei ambayo wateja wako unawauzia kwa ujazo upi n.k. Tufanye biashara
 
Yanapatikana pia makambako njombe kwa bei ya 12000/= kwa lita 5. kama utaweza tuwasiliane nikuunganishe nao.
 
Mimi ni mzalishaji wa hayo mafuta nipo Makambako, Njombe, Ni pm Tufanye biashara ya uhakika.
 
Broo mi nipo chalinze mkoa wa pwani nahitaji! Ila kikubwa nataka tuongee kujua gharama za usafiri

Sent from my H1 using JamiiForums mobile app
 
Yanapatikana pia makambako njombe kwa bei ya 12000/= kwa lita 5. kama utaweza tuwasiliane nikuunganishe nao.
Niunganishe na wazalishaji broo nahitaji mafuta

Back
Top Bottom