Neanne
Member
- Apr 23, 2013
- 24
- 5
Habari wana jamvini? Katika hangaika yangu nimepata wateja wa mafuta ya alizeti, nimesikia yanapatikana Singida, tatizo sijui pa kuanzia ili kuyapata na kuyaleta Dar ili kusupply. Naomba msaada wenu kwa wanaojua mchakato mzima. Tupigane na umasikini tulijenge taifa