Habari wana jamvini? Katika hangaika yangu nimepata wateja wa mafuta ya alizeti, nimesikia yanapatikana Singida, tatizo sijui pa kuanzia ili kuyapata na kuyaleta Dar ili kusupply. Naomba msaada wenu kwa wanaojua mchakato mzima. Tupigane na umasikini tulijenge taifa
Broo mi nipo chalinze mkoa wa pwani nahitaji! Ila kikubwa nataka tuongee kujua gharama za usafiriMimi ni mzalishaji wa hayo mafuta nipo Makambako, Njombe, Ni pm Tufanye biashara ya uhakika.
Niunganishe na wazalishaji broo nahitaji mafutaYanapatikana pia makambako njombe kwa bei ya 12000/= kwa lita 5. kama utaweza tuwasiliane nikuunganishe nao.