Sikonge,
Mkuu wangu hapa ni lazima tukubali Ujinga.. wametuweka sawa tukajaa wenyewe kwa shida ya siku chache maanake huo umeme wa mgao sidhani kama hata mwezi umeshafika..
Kumbuka mwaka 1994 kuingia 95 tulikuwa ktk hali mbaya zaidi kwa miezi sita..na tuliendelea hivyo hivyo karibu utawala wote wa Mkapa na hasa mwishoni.. mgao haikuwa hoja kabisa bali sehemu ya maisha yetu...Ajabu leo tumesha sahau!
Nitaweka hapa kipande cha habari toka U.S. Department of State, ofisi ya coordinator for Business Affairs, to prove my point.
For the past four years Tanzania has been experiencing a series of power
(electricity) shortages in its main gridlines. These shortages are a
result of the continuing effects of the regional drought of 1994/95. As
Tanzania remains 95% dependent on hydro-electric power, the 1994/94
drought seriously hampered the Tanzania Electric Supply Company's
(TANESCO) ability to generate enough power to meet the demands of the
economy. Starting in November 1994, Tanzania was forced to endure six
months of rationing, which meant that most Tanzanian factories,
businesses and homes were without power from 0600 hrs to 2000 hrs, seven
days a week. While the situation has improved over the last few months,
power rationing continues as a result of the nation's failure to
maintain the hydro-electric facilities that generate the majority of the
countries power.
In the medium term, an emergency program funded by the international
donor community to augment Tanzania's thermal power generation capacity
will come on line in late 1995. In addition, small hydroelectric power
generating increases are expected to come on line as well. Over the
long term, development of the Songo Songo Natural gas reserve and
Mchachuma coal fields will help alleviate Tanzania's dependence on
hydro-electric power generation.
Hadi leo bado sisi ni dependent wa Hydropower, kwa sababu gas hadi leo hii inachangia asilimia ndogo sana ktk hizo asilimia chache zilizopo.Yaani ni aibu tupu haitakiwi hata kuitaja..