Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
paka morgan au dax na mafuta ya naziKwa kuongezea mimi natafuta mafuta mazuri yanayoweza kuzuia nywele kukatika, in short mimi nipo na afro ila sio kama la mh.majaliwa, tatizo kila nikizichana lazima nitoke na nywele tano hadi kumi iviii, so msaada tafathali.
Naombeni msaada wa steaming nzuri ya kupaka kwenye nywele na kuacha bila kuosha sitaki hizi za kuosha, anaejua steaming ya kuacha kwenye nywele naombeni jina lake ninunue.
Asanteni
hii haioshwi baby?