Mafuta ya kupaka, kindoo hadi pipa zima

Mafuta ya kupaka, kindoo hadi pipa zima

Uhakika Bro

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2022
Posts
3,644
Reaction score
4,315
Wakuu, watu wa sido na wajasiriamali salaaam.

Nina uhitaji na mafuta ya kupaka ndoo moja kwanza lita kumi hadi lita ishirini kwa ajili ya project.

Mambo yakikaa sawa nitaagiza hadi mapipa kwa mapipa..

Mafuta ninayohitaji ni cosmetic grade. Yale mtu anaweza changanya na viinilishe au dawa (compounding) moja kwa moja akaendelea kupakaa. Wapi nitapata, tuwasiliane Whatsapp 0734189022(usipige kwa sasa). sahili@sahili.net

Update: Ahsanteni kwa ushirikiano, suala hili limekwisha. Kwa sasa.
 
Back
Top Bottom