Mafuta ya kupikia bei juu, Chips bei ile ile!

Mbona chips zimepanda bei pia?
We mwenetu wapi huko ambako bei ni ileile?
 
Wamepunguza kipimo bro. ni bei ile ile ila unapata nusu
 
Moshi sehemu nyingi chips wanakaangia mafuta ya nguruwe...kuanzia kcmc yote ile mpaka rau madukani..shuka ymca mpaka kibororoni..yote hiyo ni nguruwe tupu...chips kavu iliyokaangiwa mafuta ya nguruwe inapenda ule hapohapo..ukisema uiweke utakula kesho inakuwa lainii kama vile viazi vilichemshwa😂😂😂😂
 
Ipo haja ya kuja na mbadala wa mafuta ya kupikia. Tushachoka mamahe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…