AFYA ZAIDI CONSULTANTS
Senior Member
- Mar 6, 2017
- 138
- 527
Mafuta yanatumika kukaangia Chipsi, samaki, nyama, kuku, crips, chapati, maandazi nk.
Kwa nini breki ya kwanza mmeanza na wala Chipsi?
Kwa nini breki ya kwanza mmeanza na wala Chipsi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameamua kudanganya umma.Viazi bei gani??
Hapa nnapoishi hiyo lita 10 ni 62,000 TZS kutoka 52,000 TZS. Hiyo 75,000 upo mkoa gani mkuu.??
Na wengi sasa ndio wanayatumia ni cheap Sana.wasitumie mafuta ya ovyo ovyo, watukaangie na mafuta ya....🐷🐷🐷
Kule kuna mafuta mengi, mengine yanayoka nje ya nchiZile za forodhani nazo wanatumia yapi?
Wapemba mtakwisha
Wapenda chips mnalishwa Sumu bila kupenda, haiwezekani mafuta ndoo ya 10ltrs iuzwe 75,000 TZS kutoka 38,000 TZS (ongezeko karibia 100%) Ila chips mtaani Bei Ile Ile. Wafanyabiashara hao wamejiongeza Kwa gharama za mlaji. STUKA
View attachment 2157290
Wauza chips faida hutokana na viazi. Wangekuwa wanapima viazi kwa mizani ndio ungeona uhalisia wa wanachokuuzia. Ni kiasi cha kupiga panga kile kisahani wanchopimia na hautaona au kugundua. Zikikaa na mapengo yake utaona ni vingi kumbe sio.kazi iendelee vijana wapate ajira, wapate mlo wenye protinj nyingi SIO UGALI WA SEMBE.Wapenda chips mnalishwa Sumu bila kupenda, haiwezekani mafuta ndoo ya 10ltrs iuzwe 75,000 TZS kutoka 38,000 TZS (ongezeko karibia 100%) Ila chips mtaani Bei Ile Ile. Wafanyabiashara hao wamejiongeza Kwa gharama za mlaji. STUKA
View attachment 2157290
Kwanza, Vua nguo usiku wa manane. Kisha, Chukua mpira anza kufyonzea kwenye madumuNaombeni kujua jinsi ya kutoa mafuta kwenye transfoma maana lipo ndani ya fenc yangu
😳Ni kweli tunafanya biashara hiyo dumu la lita 20 lilikuwa efu 80 sasahivi laki na elfu kumi
mbuzi katoliki, sio😂😂Sasa hivi wana mbadala, wanatumia ya mbuzi katoliki ni cheap.
🤔Sasa hivi tunatumia mafuta ya nguruwe; yale hayaishi; yanaongezeka tu ukiweka