Mafuta ya kupikia yazidi laki 1

Mafuta ya kupikia yazidi laki 1

2019

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
3,130
Reaction score
4,735
Screenshot_20220211_160831.jpg

Nchi hii Ishakuwa shamba la bibi,ukipata fursa piga tuuuu...hakuna mzalendo tena,kila mtu anaangalia urefu wa kamba yake
 
watu siku hizi wananunua karanga wanatwanga kwa kinu na kuungia mboga ....kisamvuuu...jani boga...tembele etc

ama unanunua nyama unamwambia muuzaji aweke nyongeza ya futa kisha ukifika nyumbani unayeyusha futa na kulitumia kaangia vitu
 
Ila kiafya sio powa
 
Back
Top Bottom