Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Kitimoto inamafuta ya ziada na mazuri kwa vitumbua na kukaangia samaki na kupikia pilau.watu siku hizi wananunua karanga wanatwanga kwa kinu na kuungia mboga ....kisamvuuu...jani boga...tembele etc
ama unanunua nyama unamwambia muuzaji aweke nyongeza ya futa kisha ukifika nyumbani unayeyusha futa na kulitumia kaangia vitu