Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 21,741 Reaction score 26,735 Feb 12, 2022 #21 Lovebird said: watu siku hizi wananunua karanga wanatwanga kwa kinu na kuungia mboga ....kisamvuuu...jani boga...tembele etc ama unanunua nyama unamwambia muuzaji aweke nyongeza ya futa kisha ukifika nyumbani unayeyusha futa na kulitumia kaangia vitu Click to expand... Kitimoto inamafuta ya ziada na mazuri kwa vitumbua na kukaangia samaki na kupikia pilau.
Lovebird said: watu siku hizi wananunua karanga wanatwanga kwa kinu na kuungia mboga ....kisamvuuu...jani boga...tembele etc ama unanunua nyama unamwambia muuzaji aweke nyongeza ya futa kisha ukifika nyumbani unayeyusha futa na kulitumia kaangia vitu Click to expand... Kitimoto inamafuta ya ziada na mazuri kwa vitumbua na kukaangia samaki na kupikia pilau.
peno hasegawa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 14,255 Reaction score 23,949 Feb 12, 2022 #22 2019 said: View attachment 2116179 Nchi hii Ishakuwa shamba la bibi,ukipata fursa piga tuuuu...hakuna mzalendo tena,kila mtu anaangalia urefu wa kamba yake Click to expand...
2019 said: View attachment 2116179 Nchi hii Ishakuwa shamba la bibi,ukipata fursa piga tuuuu...hakuna mzalendo tena,kila mtu anaangalia urefu wa kamba yake Click to expand...
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,775 Reaction score 29,746 Feb 12, 2022 #23 2019 said: View attachment 2116179 Nchi hii Ishakuwa shamba la bibi,ukipata fursa piga tuuuu...hakuna mzalendo tena,kila mtu anaangalia urefu wa kamba yake Click to expand... Kazi iendelee
2019 said: View attachment 2116179 Nchi hii Ishakuwa shamba la bibi,ukipata fursa piga tuuuu...hakuna mzalendo tena,kila mtu anaangalia urefu wa kamba yake Click to expand... Kazi iendelee