Mafuta ya kutengeneza nywele kuwa rafu

Mafuta ya kutengeneza nywele kuwa rafu

hivi K mwisho wa tarakimu ya pesa ya kitanzania ina maanisha Sh ngap naona 40k,50k ,250k, ni Kenyan Shilling au ?

Msaada Jamani ili nielewe tu
K maana yake ni Kilo yaani 1000,
 
Mafuta ya 40k? mshahara wangu kwa mwezi,nikikuwowa nadhani hatutajenga bali pesa itaishia kwenye mafuta,dah!
Kwa vyovyote vile, Mwanaume akisoma comments za hawa Wanawake humu ndani lazima apate BRAIN HAEMORHAGE. A lot of money directed into the hell???....Magufuli tunyooshe Baba!!!!
jamani 14/15 ndio shilingi ngapi hizo?
mkuu wkend yangu itaenda kama ifuatavyo
kusuka 25,000
kutengeneza kucha 5,000
lotion na sabuni 65,000
pedi3500
viatu 35000
kagauni kamoja maana ni mwisho wa mwezi 50,000
ni sh ngapi hizo mkuu?
na mimi ni maskini kabisa ndi katika wanawake tunaoishi maisha ya hali ya chini.

saluni kuna watu wanatoa hadi milioni
 
mkuu wkend yangu itaenda kama ifuatavyo
kusuka 25,000
kutengeneza kucha 5,000
lotion na sabuni 65,000
pedi35000
viatu 35000
kagauni kamoja maana ni mwisho wa mwezi 50,000
ni sh ngapi hizo mkuu?
na mimi ni maskini kabisa ndi katika wanawake tunaoishi maisha ya hali ya chini.

saluni kuna watu wanatoa hadi milioni
Wewe sio maskini 20k unaikata kwa matumizi ambayo ingeweza kuitumia

Kusuka 1000
Kucha umekata mwenyewe
Lotion 1200
Sabuni 150 ya magadi
Pezi 1500
 
mkuu wkend yangu itaenda kama ifuatavyo
kusuka 25,000
kutengeneza kucha 5,000
lotion na sabuni 65,000
pedi35000
viatu 35000
kagauni kamoja maana ni mwisho wa mwezi 50,000
ni sh ngapi hizo mkuu?
na mimi ni maskini kabisa ndi katika wanawake tunaoishi maisha ya hali ya chini.

saluni kuna watu wanatoa hadi milioni
1.Kusuka poa.

2.Kucha za 5000? mh?

3.Lotion na sabuni kubwa mno...ingekuwa walau 45k

4.Pedi za 35k kwa wiki? unabld kila siku?(maana umesema weekend)

5.Viatu bei nzuri.

6.Gauni la 50k kwa mwisho wa mwezi siyo mbaya.

7.Tuma # ya Mpesa na utaratibu wa posa....sitaki mchezo mimi🙁🙁🙁🙁🙁🙁
 
pedi nimesema 3500 mkuu,lotion situmii mchina inatoka uk direct sitaki mkorogo wa mchina mie halafu mwezi ujao sitanunua .
 
pedi nimesema 3500 mkuu,lotion situmii mchina inatoka uk direct sitaki mkorogo wa mchina mie halafu mwezi ujao sitanunua .
Dah! umeeleweka sana, ingawa post niliyoinukuu inasema ni 35k.Hata hivyo siyo mbaya.
 
Mijitu mingine bhana sjui ime umbwaje!!!! Mtu kauliza jina la mafuta pamoja na bei yaku tengeneza rough dread. Mtu hujui vyote bado unachangia ku complain kuhus bei ya bidhaa kama huna si utulie kaambali yan topoc ina kua na wachangiaj wengi alafu majibu machache watanzania wenzangu tuji funze ustarabu.

Please mim nina shida ya mafuta mazuri yakutengeneza rough dread anaejua naomba anifahamishe
 
Natumia cantu kwa sasa.. hizo ndio product zangu natumia kwa nywele ingawa sasa sina rough dreads ni natural tu.

So jaribu Cantu pia...

IMG_8515.JPG
 
Back
Top Bottom