Mafuta ya mkunazi

PEACE ONE

Senior Member
Joined
Jan 26, 2015
Posts
143
Reaction score
47
Habari wana JF? Kwa yeyote anayejua matumizi na faida ya mafuta ya MKUNAZI naomba anijuze.
 
ebu niekee picha yake kwanza af nitakuambia manake hizi lugha za kifarisayo zinabadilika kati ya kabila na kabila
 
Kwa kiingereza yanaitwa SIDR OIL naombeni matumizi na faida zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…