Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hutumika kwa ajili ya kusinga.habari wana jf? Kwa yeyote anayejua matumizi na faida ya mafuta ya mkunazi naomba anijuze.
mkunaz na kweme ni tofauti kabisaivi hizi si ndizo kweme kwa kipare??
Mkuu haya mafuta yanataka kuwa dili nini kama mayai ya KWARE!! Maana wabongo tu watu wa matukio hasa!!!!Kwa kiingereza yanaitwa SIDR OIL naombeni matumizi na faida zake.