Mafuta ya Petrol na Diesel yameenza kuadimika tena nchini

Bora tuchangamshe bongo zetu tuje na magari ya KUTUMIA maji.
Kuna mjapani alikuja na teknolojia ya kutengenisha Hydrogen na Oxygen kwenye maji ili kimojawapo kitumike kama nishati sijui aliishia wapi na akaja mTanzania mmoja akasema anaweza kuendesha mitambo yote kwa kutumia hewa ya Oxygen tunayovuta ili kutoa nishati naona mamlaka alizoziomba ufadhili zilimkaushia
 
Link ya habara ya huyo mjapan. Au chanzo cha habari juu ya ugunduzi wa huyo mjapan tafadhali
 
Inavyoonekana vigogo wa chama cha mambuzi na serikali ndo wahusika hasa wa biashara ya mafuta, Nyerere hakuwa mjinga kuweka mwiko watumishi wa umma kuwa wafanyabiashara.
 

Waziri mwenye dhamana yuko busy na wababa na familia zao
 
Safi sana hizi ndiyo habari nataka kusikia
 
Walidai mwendazake alikuwa katili sana, wakampa na majina ya ajabu ajabu.
Wananchi nao bila kujua ajenda iliyokuwa nyuma yao wakaimba nao pamoja kama kasuku.
Haya ni malipo ya unafiki wetu. Acha watubonde tu, hatuna shukurani
 
Walidai mwendazake alikuwa katili sana, wakampa na majina ya ajabu ajabu.
Wananchi nao bila kujua ajenda iliyokuwa nyuma yao wakaimba nao pamoja kama kasuku.
Haya ni malipo ya unafiki wetu. Acha watubonde tu, hatuna shukurani
Kama kuna kitu tulikosea kama watanzania ni kushindwa kumprotect Rais wetu enzi za uhai kwake kwa gharama yoyote iwe ndumba,maombi nknk sasa tukazubaa wajuaji wakapita nae...TUTAJUTA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…