Mafuta ya taa na Chumvi ni sawa?

Mafuta ya taa na Chumvi ni sawa?

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Habari zenu wanaJF!

Nimekua mara kwa mara nashuhudia watu wakitumia mafuta ya taa na wengine hata chumvi kama tiba ya kidonda hasa pale ikitokea mtu amejikata na kitu chenye asili ya chuma. Swali langu ni sahihi kutumia vitu hivi? Na kama sio sahihi ni kwanini? Na kama kuna madhara ya matumizi yake naomba nieleweshwe.

Natanguliza shukrani.
 
Habari zenu wanaJF, nimekua mara kwa mara nashuhudia watu wakitumia mafuta ya taa na wengine hata chumvi kama tiba ya kidonda hasa pale ikitokea mtu amejikata na kitu chenye asili ya chuma. Swali langu ni sahihi kutumia vitu hivi? Na kama sio sahihi ni kwanini? Na kama kuna madhara ya matumizi yake naomba nieleweshwe. Natanguliza shukrani.
Kwani ninavyojuwa mimi chumvi ukijikata inasaidia kuzuia Damu isiendelee kutoka lakini kwa mafuta ya Taa

kusema ukweli mimi sijawahi kutumia na pia si vizuri kutumia mafuta ya Taa kama umejikata bora utumie chumvi kuzuia damu

isiendelee kutoka huku ukienda Hospitali kwa matibabu zaidi. Kama kuna Watu wanaojuwa zaidi kuhusu Mafuta ya taa kama ni

tiba ya kuzuia damu isiendelee kumwagika wakati umejikata waje hapa kutujuza zaidi mimi hilo silijuwi Mkuu. Ipycalypse
 
Last edited by a moderator:
Naona chumvi ina baadhi ya madini yanayosaidia blood-clotting,kwa mafuta ya taa nakumbuka tulikua tunawekewa kwenye makande shule za boarding sasa sijui nayo ina connection gani?
 
Habari zenu wanaJF, nimekua mara kwa mara nashuhudia watu wakitumia mafuta ya taa na wengine hata chumvi kama tiba ya kidonda hasa pale ikitokea mtu amejikata na kitu chenye asili ya chuma. Swali langu ni sahihi kutumia vitu hivi? Na kama sio sahihi ni kwanini? Na kama kuna madhara ya matumizi yake naomba nieleweshwe. Natanguliza shukrani.

Tuache porojo medically speaking mafuta ya taa absolutely will do nothing to stop bleeding & will actually dilute the clotting factors, as well as possibly start quite a toxic vasospastic reaction. It may also cause tissue necrosis...

Usitumie mafuta ya Taa !

Chumvi ukiwa katika hali ya umajiumaji inasaidia sababu NaCL ni compound ambayo inasaidia in coagulation series , yasaidia ku triger enzymes ambazo necessary to cause platelets in the blood break down and begin the clotting sequence in the blood plasma.

Basi hata kutowa (Like) unashindwa? mkuu Ipycalypse Mpaka watu waombe??

Jamani, mbona mnapenda likes hivo? kama yuko mobile je?
Labda niongeze kidogo:
Katika hali ya haraka haraka unaweza kutumia urines (haja ndogo) au asali kupoza kidonda cha moto. vinatumika kama antibiotic zaidi ya hayo asali ina soothing effect itakayo punguza maumivu kwa muda. Narudia tena, tiba hii ni ya pale kwa pale, ila haiziwii tiba ya kawaida. Do NOT cover kidonda cha moto in first aid operations.
 
sasa hizo Like hazifanyi kazi katika mobile kwanini hurekebishi na wewe ni Super Moderator Mzima?Mkuu Roulette
 
[diesel ni nzuri zaidi inazuia kabisa damu kutoka pia na maumivu yanapotea kabisa, sijajua kama ina madhara au la
 
Mi ilinishangaza majuzi niliteguka uguuni nikaenda hospital nikapewa Dawa Za maumivu lakini wapi

Nikakutana na jamaangu akaniambia unateseka bure akachukuaga mafuta Ya taa akachanganya na chumvi Akafanya kama kunichuwa daah, baada ya Kama lisaa tu nikapata nafuu asee

Sikuwai kuijuaga kama hii ni Dawa nzuri hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom